Title : DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST
link : DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST
DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST
Date Published: 2019-03-21
Application Deadline: 2019-04-03
JOB SUMMARY:
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
i)Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,
ii)Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,
iii)Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari,
iv)Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,
v)Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,
vi)Kufanya usafi wa gari, na
vii)Kufanya kazi nyingine kadri anavyoelekeza na Msimamizi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE:
i)Kuajiriwa kwenye Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka bila kusababisha ajali.
ii)Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
iii) Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.
REMUNERATION: Salary Scale TGS B
Login to Apply
Thus Article DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST
that is all articles DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST with the link address https://americanjobsandvicinity.blogspot.com/2019/04/dereva-daraja-la-ii-tgs-b-851-post.html
0 Response to "DEREVA DARAJA LA II TGS B - 851 POST"
Post a Comment