Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke

Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke - Hallo friend American jobs and vicinity, In the article you read this time with the title Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke, we have prepared well for this article you read and download the information therein. hopefully fill posts Article bank, Article contracting, Article general, Article health, Article manufacturing, Article marketing, Article teachers, Article telecommunications, Article The latest, we write this you can understand. Well, happy reading.

Title : Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke
link : Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke

Read also


Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke

Application deadline 2017-08-28
Location
Dar Es Salaam
Description
Mwananchi 28/7/2017
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke anawatangazia Wananchi/ Watanzania wote wenye sifa zinazotakiwa kuomba kujaza nafasi mbalimbali za kazi kama zilivyoainishwa hapo chini:-
Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II (Nafasi 3)

SIFA ELIMU/UJUZI
• Elimu ya kidato cha Nnne (IV), au Kidato cha Sita (VI,)
• Cheti cha utunzaji kumbukumbu katika mojawapo ya fani ya afya, Masjala, Mahakama, na Ardhi.
KAZI NA MAJUKUMU
• Kutafuta kumbukumbu/nyaraka/mafaili yanayohitajiwa na wasomaji.
• Kuthibiti upokeaji, uandikishaji wa kumbukumbu /nyaraka.
• Kuchambua, kuorodhesha na kupanga kumbukumbu/ nyaraka katika makundi kulingana na somo
• husika (classification and boxing) kwa ajili ya matumizi ya Ofisi.
• Kuweka/kupanga kurnbukurnbu/nyaraka katika reki (file racks/cabnet) katika masjala/ nyumba za kuhifadhia kumbukumbu.
• Kuweka kumbukumbu(barua,nyaraka nk)kataka mafaili.
• Kushunghulikia maombi ya kumbukumbu/nyaraka kutoka taasisi za serikali.

NGAZI VA MSHAHARA
Ataanza mshahara TGS B (1) kwa mujibu wa viwango vya Serikalini.
UMRI
Waombaji wote wanatakiwa wawe na umri usiopungua miaka 18 na usiozidi miaka 45.
MAELEZO YA JUMLA
Maombi yote yawasilishwe yakiwa yameambatanishiwa na CV pamoja na nakala za vyeti vya kuhitimu elimu na mafunzo (vyeti vinavyoonyesha kiwango cha kufaulu na sio 'leaving certificate')

MUHIMU
Muombaji anatakiwa atume vyeti vyake halisi na halali kwani uhakiki utafanyika katika vyuo alivyopitia parnoja na Baraza la Mitihani. Udanganyifu wowote ukibainika hatua za kisheria zitachukuliwa.
MAOMBI VATUMWE KWA ANWANI IFUATAVO:-
MKURUGENZI WA MANISPAA
HALMASHAURI VA MANISPAA VA TEMEKE
S.L.P 46343, DAR ES SALAAM


Thus Article Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke

that is all articles Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.

You now read the article Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke with the link address https://americanjobsandvicinity.blogspot.com/2017/08/msaidizi-wa-kumbukumbu-daraja-ii-x-3.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Msaidizi Wa Kumbukumbu Daraja II X 3 Halmashauri Manispaa ya Temeke"

Post a Comment