Title : Dental Surgeon II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
link : Dental Surgeon II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Dental Surgeon II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
- Application deadline 2017-08-11
Location
Dodoma Mjini Dodoma
Description
Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kupitia kibali cha ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, inatangaza nafasi za kazi 3,152 kwa wahitimu wa kada za Afya chini. Wizara ina jukumu la kuwapangia vituo vya kazi waombaji wenye sifa kwa mujibu wa Waraka wa Maendeleo ua Utumishi ya Kada chini ya Wizara ya Afya.
Sifa za Mwombaji:
APPLICATION
Wahitimu wote wa kada za Afya zilizotajwa hapo juu mnaombwa kutuma moambi yenu kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo na si vinginevyo:
Katibu Mkuu (Afya),
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Chuo Kikuu cha Dodoma,
Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii,
Jengo Na.11,
S.L.P. 743,
40478 DODOMA
Tangazo hili linapatikana katika tovuti yetu: www.moh.go.tz
Sifa za Mwombaji:
- Awe ni raia wa Tanzania
- Awe na umri usiozidi miaka 45
- Asiwe mwajiriwa wa Seriakli au asiwe mwajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya Dini ambaye mshahara wake unalipwa na serikali
- Asiwe ameshawai kufanya kazi serikalini na kuacha kazi
- Nakala ya Cheti cha Taaluma
- Nakala ya Cheti cha Kidato cha nne/sita
- Maelezo binafsi (CV)
- Picha (Passport size mbili) za hivi karibuni
- Nakala ya Cheti cha usajili au leseni ya kufanya kazi ya Taaluma husika.
- Nakala ya cheti cha kuzaliwa
APPLICATION
Wahitimu wote wa kada za Afya zilizotajwa hapo juu mnaombwa kutuma moambi yenu kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo na si vinginevyo:
Katibu Mkuu (Afya),
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
Chuo Kikuu cha Dodoma,
Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii,
Jengo Na.11,
S.L.P. 743,
40478 DODOMA
Tangazo hili linapatikana katika tovuti yetu: www.moh.go.tz
Thus Article Dental Surgeon II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
that is all articles Dental Surgeon II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto This time, hopefully can provide benefits to all of you. Okay, see you in another article post.
You now read the article Dental Surgeon II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto with the link address https://americanjobsandvicinity.blogspot.com/2017/07/dental-surgeon-ii-at-wizara-ya-afya.html
0 Response to "Dental Surgeon II at Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto"
Post a Comment